Mahakama Kuu Arusha yamnyima dhamana Mbunge Godbless Lema, mawakili walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya kukata rufaa.
Kesi hiyo itatajwa tena 02.02.2017. Rufaa iliyokatwa na mawakili wanaomwakilisha Lema iliwekewa pingamizi na siku ya leo Maamuzi yake yamefanyika na pingamizi la Mawakili wa Jamuhuri limeshinda.Baada ya mahakama kuu Arusha kutupa rufaa ya kupinga maamuzi ya kumnyima dhamana Lema, Wakili wake asema Lema amewaambia wasishughulike tena
0 comments